ODM wadai ipo njama ya kudhalalisha jopo la uteuzi wa makamishna wa IEBC

  • | KBC Video
    3,062 views

    Kamati kuu ya chama cha ODM imemsuta kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka kwa matamshi yake iliyodai yanadhalalisha usaili unaoendelea wa makamishna wa tume huru ya uchaguzi na uratibu mipaka, IEBC. Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amesema matamshi ya Musyoka yana nia ya kutia doa jopo la uteuzi wa makamishna hao na hivyo kuhujumu mfumo mzima wa uteuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive