Ofisi za manaibu wa chifu na vituo vya polisi zajengwa Malindi

  • | Citizen TV
    409 views

    Kama njia ya kuboresha huduma za serikali na hali ya usalama eneo bunge la malindi , mpango wa kujenga afisi 6 za manaibu wa chifu na vituo vidogo vya polisi umeanzishwa.