Okiya Omtatah amtaka Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja na Mohammed Amin kujiuzulu

  • | Citizen TV
    19,787 views

    Seneta Wa Busia Okiya Omtatah Amemtaka Inspekta Jenerali Wa Polisi Douglas Kanja Na Mkurugenzi Wa Dci Mohammed Amin Kujiuzulu Kufuatia Visa Vya Utekaji Nyara Vinavyoendelea Nchini. Omtatah Aliyethibitisha Kutekwa Nyara Kwa Kibet Baada Ya Kuondoka Ofisini Mwake Jumanne Jioni Amedai Waliohusika Ni Maafisa Wa Dci Waliokuwa Wameegesha Gari Lao Nje Ya Ofisi Yake Alipokuwa Akikutana Naye. Seneta Huyo Wa Busia Pia Amedai Huenda Kisa Hicho Ni Cha Kumlenga Kwa Kutangaza Azma Yake Ya Kuwania Urais