Ole Sapit aunga mkono agizo la Trump

  • | KBC Video
    253 views

    Askofu mkuu wa Kanisa la Kianglikana humu nchini Jackson Ole Sapit amesema kwamba kama Kanisa hilo linaunga mkono hatua ya Marekani kuondoa sehemu ya misaada yake kwa taifa hili, akisema wakati umewadia kwa viongozi barani Afrika kuwajibika ipasavyo na kutilia maanani masuala muhimu yanayowakumba raia wa bara hili. Akizungumza katika chuo kikuu Cha St. Paul huko Limuru, Sapit alisisistiza kwamba misaada kutoka mataifa ya kigeni hususan Marekani na Uropa imekuwa ikutumiwa vibaya na viongozi badala ya kufadhili miradi ya kunufaisha jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive