Ole Sapit azua wasiwasi kuhusu matamshi ya kikabila

  • | KBC Video
    427 views

    Askofu mkuu wa kanisa la Kianglikana Jackson Ole Sapit, ameelezea hofu yake kuhusu kile anachodai kuwa mtamshi ya kikabila yanayoendelea kuongezeka. Kiongozi huyo wa kidini alionya kwamba uchochezi wakikabila unaoenezwa na wanasiasa pamoja na vitisho kunaweza kuhatarisha mshikamano wa kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News