Omollo Amtaka Gachagua Kutoa Ushahidi Wa Madai Yake Kuhusu Pombe Haramu Milima Kenya

  • | TV 47
    620 views

    Katibu Wizara Ya Masuala Ya Ndani, Raymond Omollo, anamtaka Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuwasilisha ushahidi wa madai kwamba serikali inalenga wakazi wa Mlima Kenya kwa pombe haramu.

    Omollo akisema matamshi ya Gachagua ni ya kiholela kwa kudai kwamba Rais William Ruto ameagiza usambazaji wa pombe haramu katika eneo la Mlima Kenya.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __