Omollo : Maafisa wote wa polisi walio likizoni warejee kazini mara moja

  • | KBC Video
    1,042 views

    Serikali imewahakikishia wakenya usalama wao kabla ya msimu wa sherehe. Maafisa wote wa polisi walioko likizoni wamehimizwa kurejea kazini mara moja ili kuimarisha usalama kote nchini. Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Raymond Omollo amesema maeneo yanayoangaziwa zaidi ni pamoja na maabadi, masoko, viwanja vya ndege na maeneo ya kitalii. Vikosi mbalimbali vitakavyopelekwa katika kambi ya jeshi ya Lang'ata vinavyojumuisha kikosi cha ulinzi cha Kenya-KDF na polisi miongoni mwa vikosi vingine, vitaongoza shughuli za usalama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive