OMTATAH AONDOA KESI DHIDI YA RUTO NA UHURU, AAHIDI KUIRUDISHA UPYA

  • | K24 Video
    262 views

    Seneta wa Busia, Okiya Omtatah, ameondoa rasmi kesi aliyowasilisha dhidi ya Rais William Ruto na Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu deni la umma. Ametaja changamoto za kisheria na ucheleweshaji wa kesi kama sababu, lakini amesema ataifufua tena kwa msingi thabiti.