Oparanya akanusha madai ya kubinafsishwa kwa KCC

  • | KBC Video
    32 views

    Serikali imepuuzilia mbali mipango ya kubinafsisha kampuni ya utayarishaji maziwa ya KCC. Haya yalitangazwa na waziri wa vyama vya ushirika na biashara ndogo ndogo na zile za kadri, Wycliffe Oparanya aliyezuru kiwanda hicho mjini Eldoret. Kwingineko katibu wa uhamiaji Paul Bitok amesema kuwa mipango inaendelea ya kubadili na kuhamisha afisi ya uhamiaji katika jumba la Nyayo kama sehemu ya juhudi za kuondolea mbali dhana ya ufisadi inayohusishwa na afisi hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive