Operesheni ya komesha uhalifu haijawapa afueni wakazi

  • | K24 Video
    391 views

    Zaidi ya familia 1,500 zimesalia kuhamia maeneo salama kufuatia visa vya ukosefu wa usalama katika kaunti ya Samburu. Familia hizo kutoka maeneo ya malaso na lokori samburu magharibi zimekuwa zikiishi kwa hofu huku baadhi yao wakisalia na majeraha baada ya kuvamiwa na majambazi.