Operesheni za Israel kaskazini mwa Gaza

  • | BBC Swahili
    0 views
    Israel ilitoa wito wa kuhamishwa watu katika maeneo ya kaskazini mwa ukanda wa Gaza lakini watu wanaoishi katika eneo hilo wanasema hawana pa kwenda na hawana njia salama ya kutoka huku wakikabiliana na mizinga ya Israel. #bbcswahili #israel #gaza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw