- 279 viewsDuration: 1:36Eneo Bunge la Othaya kaunti ya Nyeri ndilo limejikokota zaidi kwenye idadi ya waliojisajili kama wapiga kura wapya kufikia siku ya jumanne. Kwa mujibu wa takwimu za tume ya uchaguzi tawi la Nyeri, wapiga kura wapya 75 pekee wamesajiliwa eneo hili, ikilinganishwa na lile na Nyeri mjini linaloongoza maeneo bunge yote sita ya kaunti hiyo na Sajili ya wapiga kura wapya 607.