Panzi mzalendo mwenye rangi za bendera ya Tanzania

  • | BBC Swahili
    879 views
    Panzi Tanzania ni panzi wa kipekee anayepatikana kwenye misitu wa mazingira asili wa Pugu Kazimzubwi uliopo mkoa wa Pwani nchini Tanzania, Panzi huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na rangi zake asilia zenye kufanana za zile za bendera ya Tanzania hivyo kuvuta hisia za wengi wakitaka kujua imewezekanaje. #bbcswahili #tanzania #wadudu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw