Patrick Naweet asutwa jela kwa miaka 30 kwa hatia ya kumuua mawanaharati Elizabeth Ekaru, 2022

  • | NTV Video
    117 views

    Patrick naweet atasota jela kwa miaka 30 ijayo baada ya kukutwa na hatia ya mauaji ya mwanaharakati wa haki za binadamu Elizabeth Ekaru mwaka wa 2022. Upande wa mashtaka ulishawishi mahakama kuwa naweet alimdunga kisu ekaru mara tano kimakusudi. kulingana na jaji wa mahakama kuu ya meru Edward Muriithi hukumu hii ni funzo kwake naweet na watu wenye nia ya kutekeleza ukatili sampuli hii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya