Peter Salasya afikishwa kortini kwa tuhuma za kumjeruhi Mwakilishi wadi kaunti ya Kakamega

  • | West TV
    486 views
    Mbunge wa mumias mashariki peter salasya ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu hamsini au mdhamini wa kiwancgo sawa baada ya kufikishwa katika mahakama mjini mumias, kwa tuhuma za kumvamia na kumzaba kofi mwakilishi wa wadi ya isongo/malaha/makunga kwenye hafla ya mazishi