Pigo kwa Gachagua baada ya agizo la kutoapishwa kwa Kindiki kutupiliwa mbali

  • | KBC Video
    149 views

    Mahakama kuu imeondoa agizo la mahakama ya Kerugoya na hivyo kupisha shughuli ya kuapishwa kwa naibu rais mteule Kithure Kindiki. Katika uamuzi wake, jopo la majaji watatu likiongozwa na jaji Eric Ogola lilitoa uamuzi kwamba, kwa kuzingatia katiba, ofisi ya naibu rais haiwezi kusalia wazi. Na kama anavyoripoti Ruth Wamboi, aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua amepata pigo maradufu mahakamani hii leo kuanzia mahakama ya rufaa asubuhi na kisha mahakama kuu alasiri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive