Pigo kwa Gachagua baada ya mahakama ya Rufaa kukataa kuizuia kuzuia kesi dhidi yake

  • | Citizen TV
    5,274 views

    Rigathi Gachagua amepata pigo jingine mahakamani baada ya mahakama ya rufaa kukataa kuizuia mahakama kuu kusikiza kesi ya kuondolewa kwake ofisini.