Pikipiki za umeme sasa ni rasmi Rwanda

  • | BBC Swahili
    919 views
    Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa pikipiki za umeme pekee ndizo zitastahiki usajili mpya wa usafiri wa umma. Hii ni mojawapo ya juhudi za kupunguza uchafuzi wa hewa. Uamuzi huu haujapokewa vyema na waendesha boda boda, huku baadhi wakizungumzia changamoto kadhaa kama vile kuchaji betri na uhaba wa miundombinu ya kuchaji.