Pikipiki zaibwa huku kampuni zikipigwa darubini Makueni

  • | Citizen TV
    494 views

    Wahudumu wa boda boda kaunti ya Makueni wanashinikiza idara ya polisi kuwajibika na kuhakikisha wanakabiliana na visa vya wizi wa pikipiki na mauji ya wanaboda. Haya yanajiri huku kampuni zinazokopesha pikipiki zikipinga madai kuwa zimekuwa zikihusika na wizi wa pikipiki hizo.