Polisi adaiwa kumpiga na kumjeruhi mwanamke Narok

  • | Citizen TV
    1,906 views

    Mwanamke mmoja huko Narok analilia haki baada ya kudaiwa kudhulumiwa na polisi. Inasemekana kuwa polisi huyo alimpiga vibaya na kumjeruhi. Mwathiriwa huyo anasema polisi alimvua nguo na kumpiga kwenye sehemu zake za siri.