Polisi Adungosi wamenasa lita 16,000 za pombe ya Ethanol kutoka Uganda

  • | NTV Video
    80 views

    Maafisa wa polisi kituo cha Adungosi kilichoko eneo bunge la Teso Kusini, kaunti ya Busia wamenasa lita 16,000 za pombe aina ya Ethanol iliyokuwa ikisafirishwa kutoka nchi jirani ya Uganda.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya