Polisi ashtakiwa kwa kumpiga risasi mwanamke mjamzito

  • | BBC Swahili
    982 views
    Afisa wa polisi anayedaiwa kumpiga risasi mwanamke aliyekuwa na ujauzito wa karibu wiki 25 huko Ohio ameshtakiwa kwa mauaji. Video ya kamera iliyowekwa kwenye nguo iliyotolewa mwaka jana ilionyesha polisi wakijaribu kumzuia Bi Young asiondoke katika gari lake ili waweze kumhoji kuhusu madai ya wizi dukani. #bbcswahili #marekani #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw