Polisi Aua na Kujiua

  • | Citizen TV
    1,831 views

    Afisa wa Polisi kaunti ya Homa Bay amewaua watoto watatu na kisha kujitia kitanzi na kujiua. Inaarifiwa kuwa hatua hii ilitokana na ugomvi wa kinyumbani