Polisi awaua watoto watatu kabla ya kujitoa uhai Homa Bay

  • | Citizen TV
    3,750 views

    Afisa wa Polisi kaunti ya Homa Bay amewaua watoto watatu na kisha kujitia kitanzi na kujiua. Inaarifiwa kuwa hatua hii ilitokana na ugomvi wa kinyumbani