Polisi Baringo wawazuilia washukiwa watano wa uhalifu wanaohusishwa na visa vya wizi wa mabavu

  • | Citizen TV
    482 views

    Kulingana na Kamanda wa Polisi wa Baringo, Julius Kiragu, maafisa wa usalama wamekuwa wakiwafuatilia wahalifu hao tangu mwanzoni mwa wiki hii.washukiwa hao walipatikana na vifaa mbalimbali vinavyokisiwa kuwa vya wizi