Polisi Homa Bay waanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha afisa aliyejitoa uhai baada ya kuwaua wanawe

  • | KBC Video
    102 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ya Homa Bay wameanzisha uchunguzi kuhusu kifo cha afisa wa polisi aliyeripotiwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kuwaua watoto wake watatu katika kijiji cha Kagoga, kaunti ndogo ya Karachuonyo Magharibi. Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa kitendo hicho kinaweza kuwa kinahusishwa na mizozo ya muda nyumbani kwake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive