Polisi na NACADA waendesha operesheni ya kunasa walanguzi wa mihadarati eneo la Joke Villa, Kisii

  • | Citizen TV
    1,532 views

    Maafisa wa usalama wakiandamana nawale wa mamlaka ya kudhibiti matumizi ya vileo na dawa za kulevya -Nacada - wanaendesha operesheni ya kunasa walanguzi wa mihadarati katika eneo la Joke, kaunti ya kisii. mwanahabari wetu chrispine otieno anafuatilia matukio hayo na sasa anaungana nasi mubashara kw ahabari kamili.