Polisi na wanafunzi wa multimedia wakabiliana

  • | Citizen TV
    3,436 views

    Shughuli za usafiri zilitatizika katika barabara ya Magadi kuelekea Rongai kufuatia makabiliano kati ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Multimedia na maafisa wa polisi. Wanafunzi wakidai kusoma katika mazingira chafu chuoni pamoja na karo ya juu. Katika harakati hiyo mwanafunzi mmoja alinaswa kwa kanda ya video akipigwa na maafisa wa polisi. Mwanahabari wetu ode francis ana maelezo zaidi kuhusu maandamano hayo na yale ya wanafunzi wa chuo cha ufundi cha Kabete.