Polisi Siaya waanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya mkurugenzi wa Kampuni ya Wells Fargo

  • | Citizen TV
    517 views

    Polisi eneo la Yala, Gem, Kaunti ya Siaya wameanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya mkurugenzi wa kampuni ya Wells Fargo aliyetekwa nyara na baadaye gari lake kupatikana katika kituo cha mafuta huko Sabatia kaunti ya Kakamega huku mwili wake ukipatikana huko Dudi mpakakani mwa Butere na Siaya.