Polisi wachunguza kifo cha bawabu wa shule eneo la Rongo

  • | Citizen TV
    682 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ndogo ya Rongo wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha kifo cha bawabu wa shule ya Msingi ya Rongo.