Polisi waharamisha mkutano wa vijana Nairobi

  • | Citizen TV
    25,146 views

    Maafisa wa polisi wametibua mkutano wa vijana ambao walikuwa wamepanga kukutana katika bustani ya Uhuru kulalamikia ukosefu wa ajira