Polisi wakanusha kuhusika kwenye msururu wa utekaji nyara wa vijana wanaopinga Ruto

  • | Citizen TV
    1,487 views

    Huduma Ya Kitaifa Ya Polisi Imekanusha Kuhusika Kwenye Msururu Wa Hivi Punde Wa Utekaji Nyara Wa Vijana Wanaopinga Na Kumkejeli Rais William Ruto. Inspekta Jenerali Wa Polisi Douglas Kanja Akiongeza Kwamba Hakuna Watu Ambao Wametekwa Nyara Na Kuzuiwa Kwenye Vituo Vya Polisi.