Polisi wamkamata mwanamume anayedaiwa kuwabaka mabinti zake wanne Kiambu

  • | Citizen TV
    994 views

    Maafisa wa polisi eneo la Juja kaunti ya Kiambu wanaendelea kumzuilia mwanamume anayedaiwa kuwabaka mabinti zake wanne na hata kuwalazimisha kuavya mimba