Polisi wamzuia mshukiwa anaye daiwa kuwaua wasichana 3, Gatundu

  • | Citizen TV
    2,469 views

    Polisi wanamzuilia mshukiwa mmoja wa mauaji ya watoto watatu katika eneo la Gituamba, Gatundu Kusini. Inadaiwa kuwa mshukiwa huyo aliwavizia watoto hao katika siku tofauti na kuwavuta kichakani, kabla ya kuwabaka na hatimaye kuwauwa.