Polisi wana imani watamkamata mshukiwa mkuu wa mauaji ya Kware

  • | KBC Video
    226 views

    Polisi wamedokeza kuwa watamkamata tena hivi karibuni mshukiwa mkuu wa mauaji ya kikatili ya Kware Collins Jumaisi Khalusha, ambaye alitoroka kwa njia tatanishi kutoka kwa kituo cha polisi cha Gigiri. Naibu inspketa jenerali wa huduma ya polisi Eliud Langat amesema wamepokea vidokezo muhimu kuhusu mahali ambapo huenda amejificha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News