Polisi wanamsaka muuaji wa mwanamke Bomet

  • | Citizen TV
    97 views

    Watetezi wa haki za kibinadam mrengo wa kutetea maslahi ya kijinsia huko kaunti ya Bomet wanaitaka idara ya polisi kukamilisha uchunguzi na kuwatia nguvuni wahusika wa mauaji ya Racheak Chepkemoi