POLISI WANASA BHANGI YA SHILINGI MILIONI 8 UMOJA

  • | K24 Video
    80 views

    Polisi wa Buruburu wamekamata bhangi ya thamani ya shilingi milioni 8 katika eneo la Umoja. OCPD Francis Kamau amesema dawa hizo zilikuwa zimepakia kwenye magari mawili na zinasemekana kutoka Nyanza zikielekea Mombasa. Wakati huohuo, NACADA kwa kushirikiana na Wizara ya Usalama wa Ndani wamezindua mpango wa kusaidia waraibu wa mihadarati jijini Nairobi.