Polisi wanasa sigara bandia zenye thamani ya shilingi milioni 50 Isinya

  • | Citizen TV
    1,369 views

    Maafisa Wa Usalama Katika Kaunti Ya Kajiado Wamefanikiwa Kunasa Sigara Bandia Zenye Thamani Ya Shilingi Milioni 50. Shehena Hiyo Ya Sigara Ilikuwa Ikisafirishwa Nchini Kupitia Mpaka Wa Kenya Na Tanzania Na Kulingana Na Stakabadhi, Shehena Hiyo Ilitajwa Kuwa Mazao Ya Alizeti, Maaarufu Sunflower. Nancy Kering Na Taarifa Hiyo.