Polisi wanatupilia mbali ripoti kwamba Ibrahim alitekwa nyara, wasisitiza hakuwa mwanaharakati

  • | TV 47
    390 views

    Ibrahim Mwiti aliripotiwa kutoweka mnamo Novemba 2024.

    Mwili wake ulipatikana katika makafani ya Thika Level Five.

    Polisi wanatupilia mbali ripoti kwamba Ibrahim alitekwa nyara.

    Polisi wanasisitiza kuwa Ibrahim hakuwa mwanaharakati.

    Ibrahim alizikwa tarehe 3 Januari katika makaburi ya Lang’ata.

    #TV47Wikendi

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __