Polisi watakiwa kumkamata Gavana Guyo na kumwasilisha seneti

  • | KBC Video
    1,275 views

    Spika Amason Kingi amemwagiza inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kumtia nguvuni gavana wa Isiolo Abdi Guyo na kumwasilisha katika bunge la seneti. Akitoa agizo hilo, Kingi alisema kwamba uamuzi uliotolewa unafaa na kwamba inspekta jenerali anapaswa kutekeleza maagizo hayo. Kingi pia amewahimiza maseneta kuwasilisha hoja ya kuchunguza mienendo ya gavana huyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive