Polisi watakiwa kumsaka mama anayedaiwa kumuua bintiye katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    1,015 views

    Maafisa wa polisi katika kaunti ya busia wametakiwa kufanya uchunguzi na kumkamata mama anayedaiwa kumwadhibu bintiye vibaya na kusababisha kifo chake.