Polisi watibua njama ya mauaji ya mfanyabiashara, Nairobi

  • | Citizen TV
    4,411 views

    Maafisa wa polisi jijini Nairobi wanamzuilia mshukiwa mmoja kwa uchunguzi zaidi kuhusu madai ya kupanga njama ya kumuua mfanyabiashara mmoja hapa Nairobi. Mshukiwa huyo aliyefikishwa mahakamani anadaiwa alikuwa amepewa kazi na mtu fulani ya kumtafuta muuaji wa kulipwa ili amuuwe mfanyibiashara huyo.