Skip to main content
Skip to main content

Posta Rangers yadhibiti uongozi wa ligi ya kuu

  • | Citizen TV
    162 views
    Duration: 40s
    Timu ya Posta Rangers imedhibiti nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu ya taifa ya KPL baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na timu ya AFC Leopards. Leopards ilichukua uongozi mara mbili huku Posta ikisawazisha mara mbili. Kwenye mechi nyingine katika uwanja huo huo wa Dandora, Kakamega Homeboyz iliipiku Sofapaka kwa bao 1-0.