Praxides Anyango kupambana na Martha Akinyi raia wa Uganda katika mashindano Superfeather

  • | NTV Video
    27 views

    Bondia Praxides Anyango ameimarisha mazoezi yake katika ukumbi wa kijamii wa Pumwani tayari kupambana na Martha Akinyi raia wa Uganda katika pigano la uzani wa Superfeather wakati wa mashindano ya Roar in the ring ambayo yatafanyika Jumapili hii siku ya Mashujaa ukumbini Charter hapa jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya