- 120 views
Mkuu wa utumishi wa umma felix koskei amewakumbusha wakenya mchakato mzima uliofuatwa kutoka bunge la taifa, seneti na hata mahakamani katika kumbandua rigathi gachagua mamlakani. Felix alikuwa miongoni mwa watumishi wa umma walioongoza kuapishwa kwa profesa Kithure Kindiki kuwa naibu rais wa tatu nchini, ambaye alikuwa viapo viwili; cha uaminifu na cha uchapa kazi. hafla iliyofanyika mwendo wa saa tano asubihi ya tarehe mosi novemba ukumbini kicc. msajili mkuu wa mahakama Winfredah Mokaya aliongoza taratibu za mahakama pamoja na jaji mkuu Martha Koome.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Profesa Kindiki aapishwa kuwa naibu rais wa tatu nchini baada ya kubanduliwa kwa Gachagua
- - K24TV LIVE ››
- 26 Nov 2024 - The arrest follows a series of inquiries into the circumstances surrounding the fall, which has raised serious concerns about employee treatment and safety in domestic environments.
- 26 Nov 2024 - The journey began in Kondele, a lively neighborhood in Kisumu, where hundreds of residents gathered for the festivities.
- 26 Nov 2024 - The Kenyan Women Parliamentary Association (KEWOPA) urged the government to strengthen laws addressing GBV and femicide, emphasizing the need to deter perpetrators and ensure justice for victims.
- 26 Nov 2024 - Motion to revoke voting rights of nominated MCAs causes storm
- 26 Nov 2024 - Kendu Bay: Sleepy fishing town that no lender will bank on
- 26 Nov 2024 - The perils of State-induced economic uncertainty
- 26 Nov 2024 - Why Kenya's export strategy needs more effort to grow markets
- 26 Nov 2024 - Top banks build Sh230b war chest for bad loans amid economic gloom
- 26 Nov 2024 - Proposed Bills spark fears of high food costs, burden to farmers
- 26 Nov 2024 - Minority Leader Junet Mohammed said that cancelling the Adani deal would not solve the existing problems at JKIA, which is no different from a matatu stage.