PS Tanui : Kenya sasa inalima mahindi na sukari vya kutosha, hatuagizi kutoka nje

  • | KBC Video
    28 views

    RADIO NA MABADILIKO YA TABIA NCHI

    Eng. John Tanui : Mabadiliko yanaonekana miaka miwili baada ya serikali hii kuingia mamlakani, Kenya sasa inalima mahindi na sukari vya kutosha, hatuagizi kutoka nje. Mpango wa SHA umeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya afya.

    #RadioNiSisi