Skip to main content
Skip to main content

‘Pupu pumb’inavyoboresha usafi wa vyoo

  • | BBC Swahili
    8,832 views
    Duration: 2:10
    Mamilioni ya watu nchini Tanzania bado wanategemea vyoo visivyo salama, ambavyo baadhi vinatiririsha uchafu kwenye makazi, mitaani, na hata katika vyanzo vya maji ikiwemo Ziwa Victoria. Lakini sasa, teknolojia rahisi imeanza kubadilisha hali hii. Inafahamika kama PuPu Pump, mashine ndogo, nafuu inayosafisha vyoo ambavyo vingine havifikiki kiurahisi. Mwandishi wetu, @yusuph_mazimu alisafiri hadi Mwanza kuona jinsi kifaa hiki kinavyofanya kazi. - - 🎥 @mtenganicholaus #bbcswahili #tanzania #usafiwavyoo #mwanza #gatefoundation