Qatar yajitosa kuwa mpatanishi katika mzozo wa DRC. Dira Ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    2,005 views
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Felix Tshisekedi, na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, wamekubaliana kuhusu kusitishwa kwa mapigano mashariki mwa Congo, baada ya kufanya mazungumzo nchini Qatar. Ila mpaka sasa haijabainika iwapo wapiganaji wa M23 wataheshimu makubaliano hayo.