Raia wa Rwanda wapiga kura kumchagua Rais na Wabunge

  • | BBC Swahili
    757 views
    Raia nchini Rwanda leo wamepiga kura kumchagua rais atakayehudumu kwa kipindi cha miaka 5 ijayo. Vile vile wanawachagua wabunge 80 wa bunge la taifa hilo. Rais wa sasa Paul Kagame na chama chake cha RPF-INKOTANYI anatazamiwa kupata ushindi mkubwa. Kagame anayewania muhula wa 4 madarakani anapambana na wagombea wengine wawili :Frank Habineza wa chama cha Green na Philippe Mpayimana ambaye ni mgombea binafsi. Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ameandaa taarifa hii. #bbcswahili #rwanda #uchaguzi2024 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw