Raia wa Tanzania ahusishwa na kifo cha “Molo President” Richard Otieno

  • | TV 47
    100 views

    Raia wa Tanzania ahusishwa na kifo cha “Molo President” Richard Otieno

    Kesi ya mauaji ya mwanaharakati Richard Otieno almaarufu ‘Molo President’ sasa imefichua kwamba mmoja ya washukiwa watano wanaokabiliana na mashtaka ya mauaji mahakamani ndiye kiongozi wa genge la ‘’Katahema’’ ambalo limenyima usingizi wakazi wa nakuru na vyunga vyake.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __